Mchapishaji wa Biblia: Hariri Tarehe ya Mwisho ya Mpango Ulioangaziwa
Je, unahitaji kusasisha muda gani Mpango unabaki ukiangaziwa kwa shirika lako? Unaweza kuhariri haraka tarehe ya mwisho ya Mpango Ulioangaziwa ili uonekane tu kwa muda unaoutaka. Ni watu wenye jukumu…
Updated
by Zizoh Anto
Je, unahitaji kusasisha muda gani Mpango unabaki ukiangaziwa kwa shirika lako? Unaweza kuhariri haraka tarehe ya mwisho ya Mpango Ulioangaziwa ili uonekane tu kwa muda unaoutaka.
Ni watu wenye jukumu la Mmiliki au Mhariri tu wanaoweza kuongeza, kuhariri, au kuondoa Mipango Iliyoangaziwa.
- Nenda kwenye kichupo cha Mpango Ulioangaziwa.
- Chagua kitufe cha kuhariri pembeni ya Mpango unaouhitaji kuhariri.
- Fanya mabadiliko yanayohitajika kwenye Tarehe ya Mwisho.
- Chagua Hifadhi na Chapisha ili kuthibitisha.
How did we do?
Mchapishaji wa Bibilia: Weka Mpango Unaoonekana Kwenye Ukurasa wa Shirika Lako
Mchapishaji wa Biblia: Ondoa Mpango Ulioangaziwa